Serikali na mashirika ya umma waipe kipaumbele ATCL .Wafanye booking kwanza ATCL wakiambiwa imejaa ndipo wabook ndege nyingine.Na watunze taarifa kuwa hiyo siku kweli ATCL ilikuwa imejaa haikuwa na nafasi .CAG pia akifanya ukaguzi akague pia hilo kama walitumia ATCL KWENYE safari au hawakutumia kama hawakutumia ni kwa nini na apate ushahidi toka ATCL kuwa kweli siku husika ndege haikuwa na nafasi

Hili ni muhimu ili kupambana na hujuma za kuhujumu shirika na kupambana na rushwa kwa viongozi wa mashirika na serikali ambao huamua kutumia ndege zingine kwa sababu za kifisadi.


Post a Comment

 
Top