• Breaking News

  Sep 12, 2016

  Wanawake Bwana..!! Eti hizi ndio njia wanazotumia Kumkataa Mwanaume

  Msichana akitaka kukutafutia sababu ya kukukataa
  wala hatumii nguvu, ana full of
  option, na majibu yao makuu ni haya yafuatayo:

  1.We kwanza mweusi na mi mweusi mtoto atakuwa

  so dark, mi napenda wanaume weupe ili mtoto atoke
  mzuri.. Anaongea kwa kujiamini utadhani kwenye kutunga mimba huwa anamsadidia Mungu kukoroga
  kopo la rangi ya mtoto...

  2.We sio type yangu...: sasa sijui type ipi anataka Nokia
  au Samsung

  3.Am not ready, moyo wangu umepasuka...moyo
  upasuke bado unatembea??Tairi lenyewe likipasuka watu wanaziba
  pancha... 
  Kuwa Mwanaume shida, tunapambana na
  majibu unaweza kumzaba vibao mtu na Love inaisha
  hapohapo!..

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku