Watu wanne,akiwemo aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera,wamefikishwa mahakamani kutokana na kufunguliwa kinyemela kwa akaunti ya maafa mkoani Kagera.

Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba,washtakiwa walisomewa mashtaka kadhaa yaliyotokana na kadhia hiyo. Washtakiwa wengine ni pamoja na aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa/Halmashauri na Mhasibu Mkuu wa Halmashauri hiyo ya Bukoba.

Suala la dhamana litazungumziwa na kutolewa uamuzi kesho.

Chanzo: ITV Habari


Post a Comment

 
Top