• Breaking News

  Sep 24, 2016

  WATU Watatu Wahukumiwa Kifungo cha Maisha Kwa Kuchoma Makanisa na Kukata Watu Makoromeo


  BUKOBA: Watu 3 wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kukutwa na hatia ya vitendo vilivyokuwa vimekithiri mwaka jana vya kuchoma makanisa.

  Pia wanakabiliwa na mashtaka mengine ya mauaji kwa kuwakata watu makoromeo ambayo inasikilizwa na mahakama kuu kanda ya Bukoba.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku