• Breaking News

  Sep 13, 2016

  Waziri Mkuu Aitisha Harambee Ikulu Kusaidia Wahanga wa Tetemeko..Ahadi Zafikia Bil 3


  IKULU, DAR: Waziri Mkuu ameitisha harambee ya kuchangia wahanga wa tetemeko Kagera. Michango na ahadi zafikia zaidi ya Bilioni 1.3.

  Wafanyabiashara watatu wa mafuta waahidi kujenga shule mbili za Nyakato na Ihungo zilizoharibiwa na tetemeko ndani ya siku 30

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku