Waziri wa mambo ya nje Augustino Mahiga amesema kuwa Magufuli hasafiri nje kwa sababu anabana matumizi.

Ameongezea kuwa maafisa wa serikali walikuwa wanasafiri sana nje na sasa wameona wajirekebishe na Magufulli anatoa mfano kwa kutokusafiri na kutoa nafasi kwa balozi za nje kushughulikia mambo ya diplomasia na biashara.

Sababu nyingine ni serikali ya awamu ya tano inatakiwa kuwekwa katika maadili na nidhamu hivyo anabaki Tanzania ili aweze kufanya mambo hayo. Msikilize Hapa:


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top