Sep 23, 2016

‘WENYE Wivu?’ Zari Ajipongeza Kwa Zawadi ya Mjengo Toka wa Diamond

Umewahi kumzawadia nini mpenzi wake katika siku yake ya kuzaliwa?

Tyga alimpa Kylie Jenner gari la kifahari, lakini Diamond kampa Zari mjengo! Ndio maana raia huyo wa Uganda anasema, wenye wivu?

No comments:

Post a Comment