Sep 2, 2016

ZANZIBAR: Mkutano wa Chama cha CUF na Wanahabari Wazuiwa na Jeshi la Polisi


PEMBA, ZANZIBAR: Mkutano wa Chama cha CUF na Wanahabari umezuiwa na Jeshi la Polisi kupisha ziara ya Rais Magufuli inayoanza leo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, Shekhani Mohamed Shekhani amesema kuwa zuio hilo la mkutano wa CUF ni kwa sababu eneo wanalotarajia kutumia liko jirani na eneo la uwanja atakaokuwa akihutubia Rais Magufuli.

No comments:

Post a Comment