• Breaking News

  Oct 23, 2016

  AIBU: Vyombo vya Habari vya ITV, EATV na Channel Tena Kuzuiwa Kuripoti Uchaguzi wa Meya Kinondoni

  Vyombo vya IPP Media na Channel ten vimezuiwa kuripoti tukio la upigaji kura wa meya wa Manispaa ya kinondoni kwa maelezo ya mkurugenzi wa manispaa kupokea maelezo kutoka juu.

  Vyombo vilivyo ruhusiwa ni Uhuru media, Clouds media na Star tv
  Huu ni ubaguzi wa hali ya juu kwenye tasnia ya habari

  Chanzo:EATV habari

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku