• Breaking News

  Oct 8, 2016

  AIR Tanzania Yatangaza Siku ya Kuanza Safari zake Kwa Kutumia Ndege Mpya

  Ndege za ATCL zinatarajiwa kuanza kusafirisha kuanzia Oktoba 15 mwaka huu.

  ATCL ambayo ina ndege tatu sasa hivi zitaanza safari za Mwanza, Arusha, Zanzibar, Kigoma, Tabora, Mbeya, Mtwara, Kilimanjaro, Bukoba, Dodoma na Mpanda.

  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika hilo pia ndege hizo zitafanya safari kwenda Comoro, Nairobi na Entebbe.


  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku