• Breaking News

  Oct 24, 2016

  AJALI : Ndege Yaanguka na Kuuwa Maafisa Watano wa Umoja wa Ulaya


  MALTA: Ndege iliyokuwa imewabeba maafisa wa Umoja wa Ulaya(EU) imepata ajali baada ya kudondoka muda mchache baada ya kupaa.

  Maafisa watano wamefariki dunia katika ajali hiyo.

  Bado harakati za uokoaji zinaendelea, waokoaji wamesema uwezekano wa kukuta wakiwa bado hai ni mdogo sana.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku