• Breaking News

  Oct 5, 2016

  CUF Pazidi Kuwaka Moto...Bodi ya Wadhamini CUF Imegawanyika...Kisa Lipumba


  Bodi ya wadhamini wa Chama cha Wananchi (CUF) imegawanyika baada ya baadhi ya wajumbe wanaounda bodi hiyo kupinga maamuzi ya kutokumtambua Prof. Lipumba.

  Wajumbe hao wamekifananisha kikao kilichofanyika Zanzibar na kikao cha harusi.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku