• Breaking News

  Oct 5, 2016

  CUF Yamfikisha Msajili wa Vyama vya Siasa Mahakamani


  Bodi ya Wadhamini ya Chama cha CUF imefungua shauri Mahakama Kuu dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Prof. Lipumba na wanachama 12 waliosimamishwa uanachama.

  Shauri hilo limefunguliwa ili kuitaka mahakama kutoa amri dhidi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ya kutoendesha shughuli zake kwa kuingilia mambo ya ndani ya Vyama vya Siasa

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku