Zile jitihada za kufanya usafi jijini dar es salaam zimeanza kuzaa matunda. Kwamba katika takwimu zilizotoka mwaka huu kuhusu majiji safi Africa dar imeshika no. 9

Pongezi hizi ziende kwa muwakilishi wa rais dar es salaam mh. Makonda kwa jitihada zake. Kutoka kuitwa mji mchafu hadi kuwa no.9 ndani ya miezi kadhaa tu siyo jambo dogo.

Matarajio yetu ndani ya miaka miwili tunaweza kuwa no. 1 Africa.

Pongezi kwa Rais wetu.

Source:Top 10 Cleanest Cities in Africa 2016

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top