• Breaking News

  Oct 30, 2016

  Diamond Afanya Maajabu Huko Malawi...Afanya Show Saa Kumi na Mbili Asubuhi


  Picha juu ni usiku watu wakimgoja Diamond ..Chini ni saa12 baada ya hali kutulia...Kiukweli mapenz walioonesha wna Malawi siyo ya Sport Sport Picha linaanza watu waliweka camp kabisa na mahema kuja kumwona Diamond picha linaendelea umefika muda show saa 5 usiku mvua kubwa ikanyesha ikavuruga vyombo stejini show ikasitishwa hadi hali iwe shwari watu wakasema afe kipa afe beki tunamsubiri Simba hata iwe asubuhi..hali imetulia saa 12 alfajiri simba akapanda na live band yake kapafomu kilichofanyika Ni history hapa Malawi ..ni performance ya 3hrs bila watu kuchoka na hta alipo maliza watu bado walimtaka aendelee !!!Kweli Diamond Ana nyota ya kupendwa. ..maana mashabiki wamemsubiri mpaka asubuhi. ..so mchezooo..Neno moja Kwa Diamond Tafadhali

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku