• Breaking News

  Oct 3, 2016

  DIAMOND Azungumzia Ugomvi wa Zari na Mama yake na Michepuko

  Diamond platnumz amesema hakuna ugomvi ndani ya familia yao kati ya mama yake, dada yake na Zari ila mashabiki ndio wanaokuza kwa kuwa wana IQ ndogo ya kutafsiri kinachopostiwa mtandaoni na watu hao...
  Kuhusu kuwa na mahusiano na wasichana wengine amedi kuwa watu wanadi hivyo kwa kuwa kila wakimuona na msichana mzuri wanafikiri anapiga kwa kuwa wao wana mazoea ya kupiga kila msichana mzuri..

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku