• Breaking News

  Oct 30, 2016

  Diana Edward Aibuka Mshindi wa Miss Tanzania 2016 iliyohitimishwa Jijini Mwanza

  Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwapungia Mkono wanachi mara baada ya kuvishwa taji la Miss Tanzania 2016.

   Tano bora.

   Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia James Wambura  akimkabidhi ufunguo Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward mara baada ya kuibuka Mshindi wa Miss Tanzania 2016.

   Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia James Wambura  akimpongeza Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward.

  Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward akiwa na washindi wanne wa kwanza katika kinyang'anyiro cha Miss Tanzania 2016 jiji Mwanza leo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku