• Breaking News

  Oct 20, 2016

  DJ D-Ommy:Usijisumbue Kunitafuta Kama Hauna Mil 30 Kwa Masaa 4

  Dj D-Ommy akifanya mahojiano na blogu moja ya burudani mwanzoni mwa wiki hii,amesema tuzo ya AFRIMA aliyoshinda hivi karibuni imemuongezea sana thamani huku akidai ili aje kwenye club yako au sherehe yako itakubidi umlipe milioni 30 kwa masaa manne atakayopiga mziki na milioni kumi kwa kila saa litakalozidi.
  Amesema tuzo hiyo ya AFRIMA inamuweka kwenye daraja moja na DJ khaleed na Funk MasterFlex wa Marekani na DJ Dinho wa Brazili.

  Mdau wa burudani nn maoni yako kuhusu hizi gharama mpya za DJ D-Ommy.?

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku