Uchaguzi wa kumpata Meya wa Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo umeahirishwa baada ya madiwani wanaounda umoja wa UKAWA kususa wakidai CCM imeongeza wajumbe.

Aidha Madiwani hao wamedai kuwa wajumbe wawili wa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA wamehamishwa ili kurahisisha ushindi kwa mgombea wa CCM.

Uchaguzi huu umeahirishwa mpaka utakapotangazwa tena.


Post a Comment

 
Top