• Breaking News

  Oct 1, 2016

  GAVANA: Baada ya Muda Mrefu, Tumefanikiwa Kupunguza Deni la Taifa Kwa Bilioni 96

  Gavana wa benki kuu ya Tanzania Benno Ndulu amesema wamepunguza deni la taifa la ndani kwa shilingi bilioni 96 hii ikiwa ni mara ya kwanza baada ya muda mrefu.

  Kwa deni la nje wamelipa dola milioni 90 kwenye deni walilokopa la dola milioni 600 kutoka benki ya Stanbic.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku