• Breaking News

  Oct 7, 2016

  Huyu Ndiye Mwalimu Frank Msigwa Mtesaji Mkuu wa Mwanafunzi

  Huyu ndiye mwalimu Frank Msigwa mtesaji mkuu wa mwanafunzi aitwae Sebastian wa Mbeya sekondari school. Kwa sasa mwalimu huyu ameshafukuzwa chuo na Waziri Ndalichako na anatafutwa na Jeshi la Polisi.

  Neno moja kwa mwl. Frank Msigwa.

  1 comment:

  1. Ajisalimishe polisi mwenyewe,maana unapojificha unaleta usumbufu na hasira tu,huwezi kulikimbia jeshi la polisi.HAWASHINDWI!

   ReplyDelete

  Siasa

  Michezo

  Udaku