Juzi Waziri Mwalimu aliudanganya umma wa watanzania kwamba dawa zimejaa mahospitalini lakini jana Makamu wa Rais Bi Samia Suluhu amekanusha taarifa hizo kwa kuwaambia wananchi ukweli kwamba bado kuna upungufu wa dawa hospitalini. Hii maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba
Waziri Ummy alikusudia kumdanganya Rais kuhusu uwepo wa dawa hospitalini wakati wananchi wakizidi kufa kila siku kwa sababu ya ukosefu wa dawa.

Tukumbuke kwamba Rais alimfuta kazi Anne Kilango kwa kumdanganya kuhusu wafanyakazi hewa....

By Tpaul/JF


Post a Comment

 
Top