• Breaking News

  Oct 5, 2016

  KAIRUKI Akanusha Tetesi Kuwa Serikali itaanza Kuhakiki Watumishi wa Umma Wanavyotumia Mishahara yao

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Angela Kairuki amekanusha tetesi kuwa serikali itaanza kuhakiki watumishi wa umma wanavyotumia mishahara yao.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku