• Breaking News

  Oct 8, 2016

  KIJANA Aliyeota Mkia Afanyiwa Upasuaji wa Kuuondoa


  INDIA: Kijana aliyeota mkia wa sentimita 20 chini ya uti wa mgongo wake amefanyiwa upasuaji ili uondolewe.

  Mkia huo ulianza kutokea katika mgongo wa kijana huyo mwenye miaka 18 siku 14 baada ya kuzaliwa

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku