Oct 25, 2016

Kikwete: Ukiwa Kiongozi Mpya ni Lazima Uonekane Kweli Mpya na Mambo yawe Mapya

Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amesema hayo jana ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yawe mapya. Kama mkuu wa chuo mpya atajitahidi kutatua kero zilizopo hapo chuoni.

Akaongeza kusema "Unapokuwa mpya watu wanataka mambo mapya pia, lakini yawe mapya ya maendeleo na sio (mapya) ya kuharibu kule tulikotoka" Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.

Hayo ameyasema jana akihutubia katika kongamano la kuadhimisha miaka 55 ya utoaji elimu chuo kikuu cha Dar(UDSM)

Sisi wanazuoni tumemuelewa Jakaya Kikwete vizuri akiongea kifalsafa zaidi sijui wewe mwenzangu umemsoma? Video:


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR