Msanii wa vichekesho, Kingwendu amesema alikurupuka kugombea ubunge na kubakiwa na madeni mengi hali iliyomsababishia kukaa kimya ili kushughulikia madeni hayo, alitakiwa awe na mdhamini
pia msanii huyo amesema alienda ujerumani sio kwa sababu ya hela alizohongwa ili auze ubunge bali ilikuwa mpango wa muda mrefu kabla ya kugombea ubungePost a Comment

 
Top