• Breaking News

  Oct 31, 2016

  Kitu cha Kwanza Rais Magufuli Alichowaambia Wakenya


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ameomba Wakenya kuja kufanya biashara Tanzania


  Ameyasema hayo akiwa katika ziara ya siku mbili nchini humo na kuwaeleza kuwa wanaweza kuja kufanya biashara hata leo.

  “Ninawakaribisha tena Wakenya wote wanaotaka kufanya biashara Tanzania, waje hata leo” amesema Magufuli. Dkt Magufuli yupo jijini Nairobi, katika ziara yake ya kiserikali ya siku mbili nchini humo.

  Chini ni picha za mapokezi yake nchini humo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku