Oct 23, 2016

LIPUMBA: CHADEMA Sasa Wamekosa Dira Kabisa, Ule UKUTA Wao Ulikuwa ni wa Biskuti

Profesa Ibrahim Lipumba
Profesa Ibrahim Lipumba anadai CHADEMA imepoteza dira kwa kumbadilisha Lowassa na Dk. Slaa. Amesema maandamano yao ya UKUTA ukuta wenyewe ulikuwa ni wa biskuti
Amesema yeye akiitisha maandamano yanakuwa ni ya kweli na yeye huwa ndio anayaongoza
Ametaka CUF waungane bara na visiwani kuimarisha chama chao

Mtazame Hapa:

Siasa Huru App Inapatikana Google Pay Store


POST A COMMENT

No comments:

Post a Comment