• Breaking News

  Oct 5, 2016

  LIPUMBA na Maalim Seif ''Wagawana'' Akaunti za Benki...

  Inasemekana Prof.Lipumba na Maalim kila mmoja na wafuasi wake ana awezo wa kufanya shughuli za kichama kwa kutumia akaunti tofauti kila moja ikiwa upande mmoja wa muungano (Dar na Unguja)

  -Kwa Mujibu wa Thomas Malima (Mkurugenzi wa fedha na uchumi) kila pande inaweza kuchukua fedha kutoka akaunti hizo bila kuingiliwa kwa mujibu wa taratibu zao (yaani CUF Bara na CUF Zanzibar kila upande huendesha akaunti bila kuingiliwa na upande mwingine. Alibainisha ''kwa upande wa bara akaunti yetu ipo salama sijui kwa upande wa pili''

  -Kwa Mujibu wa Thomas Malima, Ally Mazrui hakidhi vigezo vya kuwa mjumbe bodi ya wadhamini kutoka Zanzibar kwani ni Naibu Katibu Mkuu kwa sasa na Bashange si Mkurugenzi wa fedha na uchumi hivyo hawakidhi vigezo vya kuwa wajumbe wa bodi ya wadhamini.

  - Hatua hii inasababisha mmeguko kwa CUF kwani kila upande unaweza kujiendesha bila kutegemea upande mwingine kiuchumi.

  - Mbowe aonywa kutojihusisha na mgogoro wa CUF kwani wao (CUF) hawakujihusisha na mgogoro wa CHADEMA na Zitto.

  Source: Jambo Leo

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku