Takribani maduka 70 yaliyopo kandokando ya Shule ya Sekondari Pamba yaamefungwa na halmashauri ya jiji kwa tuhuma za wafanyabiashara hao kukwepa kodi.
Hatua ya kuyafunga Maduka hayo imelenga kukusanya shilingi bilioni 2 kwa mwaka katika vyumba vya wafanyabiashara wa jiji la Mwanza.

Halmashauri ya jiji la Mwanza inamiliki jumla ya vyumba vya Maduka 1024.


Post a Comment

 
Top