Anaandika #DavidKafulila

Kipindi clouds360 nilichoalikwa leo kuanzia sambili unusu asbh kwajili ya kujadili masuala yanayoendelea nchini kama nilivokuwa nimewajulisha jana ambacho kilikuwa kikitangazwa tangu jana kimefutwa nikiwa studio tayar kwa maelekezo toka juu! Poleni mliokuwa mkisubiri kunifuatilia!. David Kafulila


Post a Comment

 
Top