Kabla ya kitendo kilichowanyong'onyesha wafuasi wa chadema cha kufuta UKUTA, bila sababu za kueleweka,  Kamera za Televisheni ya Azam leo jioni Mechi ya Simba na Yanga, zimemmulika akiwa uwanja wa Taifa, kapiga nne, akiongea kwa bashasha na Mwigulu Nchemba na Nape kama sio yeye alietoa amri ya kuwasusia wabunge wa ccm popote palePost a Comment

 
Top