• Breaking News

  Oct 5, 2016

  MGAMBO Mbaroni Kwa Kutoa Habari za Kidaku

  Mkazi wa Buguruni kwa Mnyamani anayetuhumiwa kuwachoma watu visu  na kisha kuwatoboa macho, Salum Henjewele maarufu kama Scorpion amepandishwa kizimbani na katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala na kusomewa tena shtaka la unyang'anyi wa kutumia silaha.

  Scorpion ambaye alikamatwa baada ya kumchoma visu na kisha kumtoboa macho, Ally, mkazi wa Mabibo Hostel, alipandishwa kizimbani mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Septemba 23, mwaka huu.

  Kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Adolf Sachore leo  ilipangwa kwa ajili ya kutajwa na upande wa mashtaka umeieleza Mahakama kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika.


  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku