Ninamuomba Mh Rais apitie upya mikataba yote ya madini na biashara kwa makampuni kadhaa kama vile Accacia Gold Mine, Ashante, Mwadui Wiliamsons mine, mikataba ya nishati ya umeme hasa IPTL na Tanesco, Grumeti reserves mkoani Mara, Ticks bandari, ubinafsishaji wa viwanda, mikataba ya ardhi, mikataba ya ujenzi.
Nina imani ikifanyika hivyo kwa ridhaa ya Mh Rais nchi yetu itakua Tanzania Greatest economic Giants kwa Afrika

By Comrade igwePost a Comment

 
Top