Kauli ya Pamoja iliyotolewa na viongozi wote wanaounda Ukawa kwa kauli moja wamesema hawamtambuo Profesa Lupumba kama Mwenyekiti wa Cuf na wala hawatampa ushirikiano wowote hii nikutokana na usaliti aliyoonyesha kipindi cha kumpata mgombea wa Urais. Pia kikao hiki cha leo kimemtambulisha Mwenyekiti mpya wa NLDBonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top