• Breaking News

  Oct 23, 2016

  MRISHO Mpoto Aelezea Sababu za Wasanii Watanzania Kukosa Tuzo za MTV

  Mrisho Mpoto
  Baada ya wasanii wote wa Tanzania kukosa tuzo MTV MAMA 2016 jana usiku, kumekuwa na watu wengi wakitoa maoni yao kuhusu hali hiyo na kila mmoja akielezea chanzo kwanini Tanzania imekosa tuzo.

  Mrisho Mpoto maarufu kama Majomba, naye hakubaki nyuma kueleza chanzo cna Tanzania kutoka mikono mitupi tuzo za MTV na ni kipi kifanyike kuweza kushinda tena wakati mwingine.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku