• Breaking News

  Oct 6, 2016

  MWANAUME Amzika Mtoto Wake Kaburini Akiwa Hai


  UGANDA: Mwanaume mmoja anashikiliwa na Polisi katika eneo la Apac kwa tuhuma za kumzika mwanae wa kiume mwenye miaka 5 akiwa bado hai.

  Mtuhumiwa anadai aliamua kumzika mwanae sababu mama yake wa kambo alikuwa akimtesa sana na alitishia kumuua.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku