• Breaking News

  Oct 13, 2016

  MWENYEKITI wa Kijiji Auawa na Kuchomwa Moto


  TANGA: Aliyekuwa M/kiti wa Kitongoji cha Mapinduzi, Abdalah Bakari (40) ameuawa na watu wasiojulikana na mwili wake kuchomwa moto.
  Baada ya mauaji hayo mwili ulitelekezwa pembeni kidogo mwa barabara itokayo Mkata kwenda Chalinze......

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku