• Breaking News

  Oct 30, 2016

  Mwigulu Nchemba Ashangazwa na Wananchi Wanaojifungia Ndani Kuogopa Panya Road..Adai ni Watoto Wadogo


  Waziri wa mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba ameshangazwa na wananchi kukimbia na kujifungia ndani wakiogopa vikundi vya kihalifu kama Panya Road.

  Amesema vikundi hivyo vinaundwa na watoto wadogo wanaotumia silaha za jadi ambazo wananchi wote wanazo.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku