• Breaking News

  Oct 23, 2016

  Navy Kenzo waongea baada ya Tanzania kukosa tuzo MTV MAMA 2016

  Ikiwa mwaka 2016 Tanzania imeandika historia ya kutoka kapa kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 zilizotolewa 22 October 2016 kwenye ukumbi wa Ticket Pro Dome Johannesburg Afrika Kusini.

   Sasa kundi la Navy Kenzo  lililokuwa likiwania tuzo ya Best Group limefunguka kuhusu Tanzania kukosa tuzo hizo na kuyaongea haya
  Kwanza  kukosa tuzo ni kitu cha kawaida pia kuchaguliwa kuwania tuzo hizo ni mshindi ninachowaomba mashabiki na watanzania wasikate tamaa waendelee na jitihada za  kura kupiga kwa wingi pale Tanzania inapowakilishwa na msanii kwahiyo wasikate tamaa’

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku