• Breaking News

  Oct 22, 2016

  PAUL Makonda Kula Sahani Moja na Makundi ya Uhalifu Dar

  Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameahidi oparesheni maalumu dhidi ya makundi ya uhalifu yaliyo jijini Dar inayotarajia kuanza hivi karibuni.

  Ameyasema hayo Alhamisi hii katika chuo kikuu cha Dar es Salaam wakati akitoa salamu za Rais John Magufuli katika uzinduzi wa hosteli mpya za chuo hicho.

  Makonda alisema kuwa ofisi yake itaanza oparesheni hiyo kuondoa magenge ya wahalifu jijini kwakuwa ni changamoto inayoukabili mkoa huo kwa sasa.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku