• Breaking News

  Oct 8, 2016

  Peter Msigwa: Usahihi wa Taarifa Zilizotolewa kuhusu Majina Kufanana na Mwalimu Aliyempiga Mwanafunzi

  Katika mitandao mingi ya kijamii wanahusisha huyo mwalimu Msigwa na mimi Mbunge Msigwa kama tuna mahusiano ya kindugu ,
  Hatuna mahusiano yoyote na huyo kijana , na wala simfahamu Ingawa hata tungekuwa na mahusiano matendo yale hayakubaliki kwa ukoo
  wa akina Msigwa na kwa jamii ya binadamu iliyostarabika . Amefanya makosa .But People do mistake, people do change , he can change lets not judge too much, he is still young , he must be given another chance , that is what parenting is all about!.

  Peter Msigwa (MP).

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku