• Breaking News

  Oct 10, 2016

  PROF Lipumba Agonga Mwamba..Sakata la Kufungua Account Mpya ya Bank

  PROFESA Ibrahim Lipumba amegonga mwamba. Juhudi zake za kufungua akaunti ya benki, tofauti na iliyo halali na inayotumika, zimekwama, anaandika Shabani Matutu.
  Prof. Lipumba anadaiwa kutaka kufungua akaunti yake katika Tawi la Ilala la National Microfinance Bank (NMB) jijini Dar es Salaam.
  Prof. Lipumba ambaye kwa miezi miwili sasa amekuwa akinyukana na uongozi halali wa Chama cha Wananchi (CUF).

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku