• Breaking News

  Oct 4, 2016

  RAIS Magufuli Asisitiza Itauza Majengo yote ya Serikali Yaliyoko Dar Baada ya Kuhamia Dodoma


  Rais Magufuli leo amesisitiza kuwa Serikali itayauza majengo yake yote jijini Dar pale Serikali itakapohamia rasmi mkoani Dodoma.

  Amesema jiji la Dar litabakia kuwa jiji la kibiashara na Dodoma kuwa makao makuu ya Serikali.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku