IKULU DAR: Tanzania na Morocco zasaini mikataba 22 ya ushirikiano ktk sekta za Kilimo, Mawasiliano, Nishati, Utalii, Bima na Uvuvi.
Askari wa Tanzania watakwenda kwaajili ya mafunzo na kubadilishana uwezo nchini Morocco wiki ijayo.

Aidha rais Magufuli katika hotuba yake amesema amemuomba Mfalme Mohamed VI ajenge uwanja wa mpira mkubwa Dodoma na amekubali ataujenga.

Rais Magufuli akaongeza kuwa Mfalme huyo amemuomba aongeze siku moja ya kukaa nchini, na Mimi nimemkubalia.


Post a Comment

 
Top