• Breaking News

  Oct 24, 2016

  TANZIA: Mwanzilishi wa Mtandao Maarufu Kwa Kuibua Mambo wa 'WikiLeaks', Amefariki


  TANZIA: Mwanzilishi wa mtandao maarufu kwa kuibua mambo wa 'WikiLeaks', Gavin MacFadyen (76) amefariki. Sababu za kifo chake bado hazijawekwa wazi.

  Mtandao wa WikiLeaks umekuwa mwiba mchungu sana kwenye kampeni za Marekani. Mambo mengi ya siri ya mgombea Hillary Clinton yamewekwa hadharani na mtandao huo.

  WikiLeaks pia ilivujisha mawasiliano ya Barua pepe za siri kati ya Rais Obama na Mwenyekiti wa Kampeni wa Hillary Clinton, John Podesta

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku