TCRA yakipa onyo kali kituo cha runinga cha Clouds. Yakifungia kwa miezi 3 kipindi cha 'Take kwa kukiuka kanuni za utangazaji.

Mahojiano yaliyopelekea kipindi hicho kufungiwa ni kati ya mtangazaji wa kipindi hicho Zamaradi Mketema na Gift Stanford Maarufu kama ‘Gigy Money’ na yalirushwa Agosti 09 saa 3.00 usiku na kurudiwa kesho yake saa 7.00.


Bonyeza HAPA Kudownload Application ya SIASA HURU Kwenye Simu yako ili Kupata Habari zetu Haraka


POST A COMMENT

Post a Comment

 
Top