Oct 9, 2016

Ukiona Dalili Hizi Jiandae Kisaikolojia Kwenye Ndoa Yenu

Mmejuana leo nakupeana namba za simu ghafla hata 48hrs hazijapita unaona text *baby naomba hela ya pango 200,000 mwenye nyumba ametupa saa 1 tulipe la sivyo tuondoke *i love u my king* hahaha kama ndo atakuwa mkeo wa maishani basi jiandae kutoa hela mpaka uwe unaenda kazini kwa mguu ukubaliane na yote nasio kuja kulialia umepata bomu la Mbagala.

Halikadhalika mwanaume nae apatapo namba yako hata 48hrs hazijafika na hujampa jibu la kama umemkubali au lah! Utadikia *bae umevaa nguo gani? (hapo ni usiku wa kiza) au nasikia baridi bae, mjamaa kasimama leo usiku huu hataki kulala naomba uje gheto nina hali mbaya sana* hahaha mtu huyu ni hatari na ananyota ya UKIMWI hivo kama ni mumeo wa ndoa jiandae kisaikolojia kuwa anahitaji huduma everyday ikiwezekana mara 3 kwa siku hata kama una mimba tujiulize kwanini haijapita hata siku moja uombe hela tena kuanzia 200, 000+ na wewe wanaume uanze habari ya mdudu wako kasimama ka msumari halali huku unataka papuchi wakati ulipotongoza hata jibu la kukubaliwa hujapewa umeshajimwaga.

Je usingemwona huyo binti au mwanaume siku zote ulikuwa una ishije kiafya au kifedha? Kama umeua kuchagua mwanamke au mwanaume wa hivi basi hakuna haja ya kulilia ovyo.

Bonyeza HAPA Kudownload Application ya Udaku Special Blog Kwenye Simu Yako

Share:

0 maoni:

Post a Comment

Trending News

Copyright © Siasa Huru | Powered by Blogger Design by JK | Blogger Theme by JR