• Breaking News

  Oct 10, 2016

  Usahihi wa Taarifa zinazoenea Kwenye Mitandao ya Kijamii zisemazo Mbowe Kujiuzulu November

  Kuna Taarifa zinazoenea kwenye Mitandao ya Kijamii zisemazo Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Anatarajia kujiuzulu Mwezi wa Novembe na kuainisha sababu Lukuki zisizo na ukweli wowote. Nipropaganda za watu wasiokitakia chama mema

  Habari hizo nizakuzipuza hazina ukweli wowote ni upotoshaji wakiwango kikubwa.

  Nimatumaini yetu mamlaka husika mtachukuwa hatua stahiki kwa mtu aliyeanzisha habari hizo za kupotosha

  Chadema

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku