• Breaking News

  Oct 28, 2016

  Utitiri wa Kodi Wakimbiza Wawekezaji Sekta ya Utalii

  Utitiri wa kodi kwenye sekta ya utalii ndiyo sababu inayowakwamisha wawekezaji kutoka Ulaya kuwekeza nchini, ripoti ya Umoja wa Ulaya (EU) imebainisha.

  Ripoti hiyo imebainisha kuwa ada ya usajili wa kampuni ya kitalii ni Dola 5,000 za Marekani  (Sh10,875,000).

  Pia, kampuni inatakiwa iwe na magari matano ya kitalii, hali ambayo ni tofauti na usajili unaofanywa nchini Kenya.

  No comments:

  Post a Comment

  Siasa

  Michezo

  Udaku